Mambo yafuatayo yanathibitisha uwepo wa MUNGU.
1.Kama sisi wanadamu hatukuubwa na Mungu, kwamba tulitokana na historia ya wanyama kama SOKWE na NYANI.. kwa kadri miaka inavyosonga mbele ndipo viumbe hivyo vikabadirika kua WANADAMU., sasa je..? hao viumbe waliumbwa na nani kama sio MUNGU......!
haya wewe hapo kwenye huu ulimwengu sasa hivi sokwe na nyani si bado wapo, tangia umezaliwa hadi umri uliofika je! umeshawahi kusikia taarifa kwamba kuna SOKWE au NYANI ambae amebadilika kuwa BINADAMU..!? {MUNGU yupo amini hilo}
2.Wazungu wenye tekinolojia zao , wameweza kutengeneza kila kitu katika ulimwengu huu, wamewezakutengeneza watu kwa mfumo wa ROBOTI, wameshindwa kumfufua mwanadamu aliye kufa..,kumpa uhai. hapo fahamu MUNGU ndio wa pekee kuweza kurudisha uhai wako maana yeye ndio aliye kupa uhai huo.
MUNGU YUPO AMINI HILO, SHIKA AMRI 10 ZA MUNGU ZITA KUONGOZA
USIBABAISHWE NA WALE JAMAA MAANA HAO WAMEKUJA KUPIGA SADAKA TU.

No comments:
Post a Comment